Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Tatizo linaanzia kwa baba kumuanika mtoto mitandaoni, hili ndio linasababisha mambo kuja kuharibika mbele ya safari, kuna wasumbufu wakishamjua mwanao wataanza kumtafuta kwa njia zote mpaka wampate, wakishampata matokeo yake ndio hayo kumvuruga akili matokeo yake anaanza kujipiga picha zisizofaa.

Wasanii wanatakiwa kuwaacha watoto wao low key, wasiwaanike hovyo mitandaoni, hii itasaidia kuwafanya wawe watulivu kiakili na kimaadili, lakiji kutaka kulazimsisha usanii wa baba kwa mtoto, watavuna wanachopanda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nmeelewa hoja yako mkuuu.........kitendo Cha Binti kuonekana kwenye macho ya wengi ndio chanzo Cha maovu kuanza kujitokeza
 
Back
Top Bottom