Uuwiiiii...Kesho zamu ya nani kumpelekea chai asubuhi ?
Kwa kweli you are very thoughtful. Mpelekee wewe basi, mie niende furahi day. Usisahau supu ya mbuzi na vyapati na pilipili eeh.
Kamfanza nini, nani ?
Kama sio issue za clouds na Jide sijui.......kule kwenye lile jukwaa kulikuwa kwa moto...
Itakuwa maana kuliwaka kipindi flani.
marejesho hivi unajua hata kama una kijacho toka kwa Filipo , ila bado nakupenda,najitahidi kumpenda Mamndenyi lakini nimekuta upinzani mkubwa sana toka kwa Katavi na Arushaone ,sasa naona labda nimtafute sweetlady anisaidie kumkip bize Filipo ili niwe na wewe kwa muda huu.........................Best........
Best........