Maisha haya duh! Raila Odinga kapigwa ban na Mzungu!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,411
8,911
Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban kukanyaga Ulaya na USA?

Kweli Jew hana rafiki, ipo siku hata hapa kitabadilika tu, ni swala la muda kama mpaka Raila Odinga kageukiwa wewe ni nani hadi unyanyase na kukejeli watu kisa sababu tu leo Mzungu yuko upande wako?

Pole sana Raila Odinga nakumbuka enzi Obama ulikuwa mpaka unasema ni cousin yako, vipi anapokea simu leo?

Ipo siku, narudia ukombozi umekaribia, endeleeni na kejeli lkn Jew hana rafiki, muulizeni Raila Omoro Odinga.
 
Kisa nini mkuu, au kuendeleza malumbano na Ruto....anafanya siasa za mapambano na Rais kipindi ambacho nchi ndo imetoka kwenye uchaguzi, labda anaharibu maslahi ya wazungu hapo kunyaland.
 
Kisa nini mkuu, au kuendeleza malumbano na Ruto....anafanya siasa za mapambano na Rais kipindi ambacho nchi ndo imetoka kwenye uchaguzi, labda anaharibu maslahi ya wazungu hapo kunyaland.
Kaingia Rais anaye Kubari Upinde
Jaluo Hayupo Upande wao
Hahaha
 
Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban kukanyaga Ulaya na USA?

Kweli Jew hana rafiki, ipo siku hata hapa kitabadilika tu, ni swala la muda kama mpaka Raila Odinga kageukiwa wewe ni nani hadi unyanyase na kukejeli watu kisa sababu tu leo Mzungu yuko upande wako?

Pole sana Raila Odinga nakumbuka enzi Obama ulikuwa mpaka unasema ni cousin yako, vipi anapokea simu leo?

Ipo siku, narudia ukombozi umekaribia, endeleeni na kejeli lkn Jew hana rafiki, muulizeni Raila Omoro Odinga, …
Kiinglish au?
Serikali na other politicians kupendekeza apigwe ban ndiyo imeshakua ban tayari?
 
Huyu Mzee amezidisha makelele sana,na vurugu nyingi,kila nafasi na international platform anayopata yeye anawaza Siasa za nyumbani,alipewa kazi AU,akatumia hiyo nafasi kuleta mzozo Kenya,badala ya kushughurika na issue za Afrika nzima.
 
Wakenya wanamwambia Ruto...
"hakuchaguliwa kudeal na Odinga, aliahidi raia kupunguza garama za maisha"
Screenshot_2023_0227_163635.jpg

Na jinsi RAO anavyompelekesha Ruto kwa maandamano lazima Ruto aliomba poo kupitia wakubwa.
 
Back
Top Bottom