Madame B kapigwa ban!

Madame B kapigwa ban!

Status
Not open for further replies.
lol pole jamani Madame B ngoja nijiandae nimpelekee mswaki na gazeti ,pia nitoe tangazo wanaume wote mchunge wake zenu waume wa huyu mama watahaha mitaani
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanza uliwezaje kujua kwa haraka kiasi hicho kuwa Madame B kapewa BAN.
Last Activity ya Madame B ni jana saa 22:38.
Hii thread yako nawe umeiweka hewani same day, same time, same everything...

#JustCurious

watu8 hivi we hujui bishanga ndo lwakatare wa chitchat? Mambo yote ya intelijensia nayasimamia mimi,au unataka nikwambie cc nani anamlamba nani?
 
Last edited by a moderator:
lol pole jamani Madame B ngoja nijiandae nimpelekee mswaki na gazeti ,pia nitoe tangazo wanaume wote mchunge wake zenu waume wa huyu mama watahaha mitaani

Una akili sana wewe
 
Last edited by a moderator:
Hv hiki kifungo cha ban huwa kinakuwa kwa muda gani ndio mtuhumiwa anaachiwa???
 
mmh!!! basi hiyo intelijensia waazime TISS watuoneshe wale wang'oa kucha

watu8 hivi we hujui bishanga ndo lwakatare wa chitchat? Mambo yote ya intelijensia nayasimamia mimi,au unataka nikwambie cc nani anamlamba nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom