Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Itakuwa maana kuliwaka kipindi flani.
hahahaha,hehehehe
Itakuwa maana kuliwaka kipindi flani.
Pepo ulilonalo linaitwa Beizebul! Mkuu wa mapepo!
Toka Shetani!!!!!
Kama unaanza kunionea wivu basi naamini kabisa kuwa kuna penzi hapo,yule binti hata alipokimbilia mimi sielew,i kaniacha kwenye mataa.Yaani nina mkosi utafikiri nalala na Bundi...
Si unajua kile kipindi mambo yalikuwa hayajatulia?.... Sasa hivi mume wangu amejirudi sana na tunatarajia mgeni very soon