Madaktari waipiga changa la macho serikali

Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....

Biblia inasema "watu wangu wanaangamia kwa Kukosa maarifa" So kwa ujinga wetu we will pay for it, that's all. Mi nasaport kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
 
Anyway. CHANGE IS EXPENSIVE. If you aren't ready to pay the price, ...keep on sleeping.
 
Serikali hii inayokimbilia mahakamani kila wafanyakazi wanapodai haki yao, nadhani ni kukosa uwezo na stahiki ya kutuongoza...
Hivi ni kwa nini MIGOMO ya nchi hii inahusisha MADAKTARI na WALIMU kila uchao? Profession zingine wao wameridhika na kila wanachotendewa na serikali hii?
Ama kweli KAZI zingine waweza sema ni LAANA kuingia kutokana na ushenzi wa wale walioshika madaraka. One day nguvu ya wanyonge hawa itaonekana nchi hii.
ANGALIZO: Mkoba na Oluoch hawafai kuwaongoza walimu maana watasitisha MGOMO iwe isiwe.
Madaktari hakikisheni mnapata kile mnachostahiki kama ni kufa ngoja tufe, maana hatuwezi ona watotot wa wakubwa VILAZA tu tunawafahamu wanakula kuku kwa mrija, you guys 5 years at University unakosa hata hadhi uraiani? Alhali wenye elimu za kuunga unga (watoto wa vigogo) wanawekwa PPF, BoT, NSSF, Tanesco etc. ambako mishahara na marupurupu ni ya KUTUPWA.
Watoto wa maskini hatukusoma ili tuendelee kuwa maskini bali nasi tuweke afueni katika familia zetu.
 
Uko sahihi kabisa.....pata picha kila kitu kitakapokuwa kimesimama.....

Pili je, tunamuadhibu nani hapo?? serekali? Kwa maana ya nani?Kikwete Pinda au hussein Mwinyi wa wategemezi wao??.....

Mkuu, tatizo la walio wengi wanafikiri chanzo cha migomo ya madaktari ni malipo madogo tu.
Siyo hivyo, tatizo la malipo ni moja ya madai yao. Yapo mengi likiwemo la vitendea kazi pia.

Wagonjwa wengi wanapelekwa India si kwa sababu TZ hakuna wataalamu, la hasha ila wengine ni kwa kuwa wataalamu waliopo hawana vitendea kazi na madawa husika.

Swali ni kwa nini serikali imeshindwa kuzungumza nao ili kufikia muafaka? Kwanza idadi yao ni ndogo sana japo sina takwimu halisi, lakini kwa idadi ya hospitali zilizopo TZ na madaktari wanavyojulikana kwa majina inathibitisha kauli yangu kuhusu idadi yao.
 
Ni hatari sana kuwa abiria kwenye chombo kinachoongozwa na nahodha juha! ni dhahiri kuwa nchi hii inaongozwa na wahuni! Na tatizo kuna wachangiaji wengine ukisoma thread zao unagundua mental disconnection! udaktari unasomewa tena na watu ambao si viraza kama hao majuha waliopata GPA ya 2.7 udsm na ndo wana
ongoza akili kubwa. madaktari hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke. acha watanzania wafe ili wapate akili ya kubadilisha mfumo!.
 
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....

Acha ujinga wewe. Unajua Dr anatumia muda gani kusoma? Je unajua Dr ni mtu anayehitaji kuishi bila kufikiria fikiria ugumu maisha, Je unajua malipo duni ndiyo hupelekea ma Dr kujiajili na kuajiliwa na kampuni binafsi (mf insurance company) ambapo hushinikizwa kubambika watu magonjwa, kukataa uwepo wa magonjwa kisa kulinda maslahi ya kihela. Ni ujinga wa wote wanaodhami madai ya ma Dr si ya msingi. Muuaji ni serikali ya CCM
 
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....

inawezekana hukai TZ na huna ndugu TZ huwezi kuacha kuunga mkono madaktari mgomo wao wakat wanasaidia kuboresha huduma ya afya . kama upo hapa TZ umewahi kwenda hospt ukapata huduma sawa sawa ?

umewahi kupata dawa zote , vipimo vyote , daktar husika kwa ugonjwa husika , ukapata huduma kwa wakati , sehemu inayotakiwa kufanyia huduma ya afya au unalopoka bila kutumia akili?
ukionewa na nchi jiran unaingia vitan bila kujali hasara kwa faida ya baadaye!
 
Naungana nawe kwa hili, ni mbaya wananchi kusapoti huu mgomo, ni vizuri tukajadili au kujenga mijadala itakayoleta suluhu nzuri pasipo kuleta athari mbaya jamii hasa wale ambao maskini. Mimi na hawa wengine ambao wako huku JF huenda tuna uwezo wa kwenda Hindu Mandal, Aga Khan na kwenine... lakini kuna ambao hizi hospitali za serikali ni mkombozi wao. Tunavyoshabikia huu mgomo utokee tunadhani nani ambaye ataathirika!!!! Ni watanzania hawahawa ambao hata humu JF hawapo. Yes it's true that kuna uzembe mkubwa wa serikali lakini hatuwezi kusema Doctoros wagome!

kilichokufanya wewe uwe na uwezo wa kwenda Hindu Mandal,n.k ni uwezo wa kifedha.Unafanya kazi wapi hatujui,ni mfanya biashara hatujui,lakini una uwezo wa kujilipia matibabu.Hivi Daktari huwa haumwi? Akiumwa huwa anatibiwa wapi kama siyo hizo hospitali za serikali ambazo hazina vifaa,kama naye anaenda kujilipia hindu mandal nani anamlipia kwa kuwa anafanya usamaria serikalini.Tukisema wasigome tusemeje, iambie serikali hiyo lugha ili iseme hivyo madaktari wasitishe mgomo.
Tunachosema hapa ni kwamba serikali yenye dhamana ya kulinda afya za watanzania wote wenye fedha na wasio na fedha iwajibike.Nani aliwatuma wawape ahadi madaktari alafu wasizitekeleze.
 
inawezekana hukai TZ na huna ndugu TZ huwezi kuacha kuunga mkono madaktari mgomo wao wakat wanasaidia kuboresha huduma ya afya . kama upo hapa TZ umewahi kwenda hospt ukapata huduma sawa sawa ?

umewahi kupata dawa zote , vipimo vyote , daktar husika kwa ugonjwa husika , ukapata huduma kwa wakati , sehemu inayotakiwa kufanyia huduma ya afya au unalopoka bila kutumia akili?
ukionewa na nchi jiran unaingia vitan bila kujali hasara kwa faida ya baadaye!

Well, mimi nipo hapa hapa bongo usitie shaka...........nijuavyo mimi kuna issue ya cost sharing kwenye afya elimu nk....sitegemei kupata vyote for free.....

my worry ni kuwa tunaowagomea sio waathirika wa mgomo hu.... soma mwanzo wa agument yangu.....tunapigana vita na wasio maadui zetu....naoanisha Action na objective sioni correlation kwakuwa hiyo objective haitakuwa achieved...Kwenye nchi zilizoendelea (hata kwa waarabu) impact ya mgomo ingeliweza kuitoa serekali madarakani.....Lakini je, population yetu inauweza wa ku analyse na kutoa hiyo punishment kwa serekali kwenye ballot box 2015.....I doubt....and i dont think so....na serekali inajua mgomo hauna madhara kwao ...hawatibiwi huko na wala uelewa wa wananchi (sometimes sio kosa la wananchi wenyewe) sio mkubwa kiasi cha kuweza kuiadhibu serekali yao....
 
Hivi unaweza kukisia idadi ya madaktari Tanzania, hebu nikujuze hapa jiji la Mwanza lenye hospitali moja, health centre 4 na zahanati kama 9 hivi kuna daktari (MD) 1 tu! Wengine unaowaona wamevaa koti ndefu nyeupe ni kada zingine mf. Wafamasia, Radiolojia n.k MD wetu wengi wapo Botswana, Sudani, nk.

Mdau kwa hiyo kwasababu wapo wachache ndiyo wapewe Mil3.5?Au sijakuelewa vizuri?Hata hivyo takwimu zako sina uhakika nazo sana kwamba jiji zima la mwanza Medical Dokta ni mmoja.Naomba nieleweke kuwa kweli madaktari wanachangamoto kubwa sana kiutendaji lakini pia naomba unikubalie kuwa katika kada za utumishi wa umma daktari ndiyo anaongoza kwa mshahara mkubwa na sasa hivi wamezidi kuongezewa maslahi kama Green Card ya NHIF ambayo wengine hawana na mikopo ya magari.Si kweli kwamba madaktari hawathaminiwi.
 
Anamaanisha your opinion is INSIGNIFICANT to the doctors decisions!!! UTAKE, USITAKE WANAGOMA!!!

Yah!Hilo sasa ni juu yao,na sijasema kuwa kutokuwaunga mkono kwangu kusababishe wao wasigome,mimi kama raia natoa maoni yangu na mtazamo juu ya sakata hili.
 
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Hivi mkuu umewahi kuugua au kuuguza siku za karibuni kwenye hospitali ya serikali? Kwa kweli nashawishika kusema acha jamaa wagome km moja ya madai yao ni vitendea kazi pamoja na dawa sasa hivi hospitali km muhimbili mgonjwa wako akiandikiwa dawa akapata ajiite mwenye bahati. Leo nimekutana na ndugu wa mgonjwa ambaye amelazwa muhimbili na kuandikiwa dawa ameenda madukani dawa zenyewe bei yake haishikiki maana kichupa kimoja kinauzwa sh48000 na anatakiwa kuchomwa sindano 4 hebu niambie huyo maskini hata km jamaa hawajagoma hatakufa kwa kukosa hela kisa serikali haihakikishi dawa zinapatikana?
 
Mdau kwa hiyo kwasababu wapo wachache ndiyo wapewe Mil3.5?Au sijakuelewa vizuri?Hata hivyo takwimu zako sina uhakika nazo sana kwamba jiji zima la mwanza Medical Dokta ni mmoja.Naomba nieleweke kuwa kweli madaktari wanachangamoto kubwa sana kiutendaji lakini pia naomba unikubalie kuwa katika kada za utumishi wa umma daktari ndiyo anaongoza kwa mshahara mkubwa na sasa hivi wamezidi kuongezewa maslahi kama Green Card ya NHIF ambayo wengine hawana na mikopo ya magari.Si kweli kwamba madaktari hawathaminiwi.
Hizo green card umewapa wewe na hiyo mikopo ya magari au unasikiliza propaganda za serikali ungepata mrejesho wa majadiliano yao na serikali ungewahurumia kwani hata nyumba ambazo walikuwa wanapigania waendelee kupewa au wapewe house allowance zimefutwa sasa kwa mambo km hayo kwa nini mtu asigome?
 
Blue: Madaktari kudai mshahara kuongezwa, au kugoma kushinikiza ongezeko hilo halimzuii Mwalimu, Afande magereza, Mwanajeshi, injinia, toilet cleaner kugoma au kudai maslahi bora. Huenda wameridhika. Wagome wakitaka.
Underline Red: Madaktari hawahitaji sympathy ya wewe au wenzio kuwaunga mkono. Hawahitaji kwenda barbarani kumwagiwa ***** na mabomu ya machozi.
Ukiona nduguzo wanakufa kwa kukosa hiduma yao tafakari, chukua hatua stahiki

Hili ni jukwaa huru la kutolea mawazo juu ya mtazamo wako katika jambo husika.Sihitaji madaktari wanisikilize lakini natoa maoni yangu mkuu hebu kuwa muelewa.Ni suala lisilo pingika kuwa hao madaktari wenyewe hiyo sympathy hawana kwani hii ni mara ya ngapi kugoma?Tumeshawazoea waendelee tu na mgomo wao lakini kufanya kwao mgomo hakumaanishi kuwa wananchi wote tuwaunge mkono hata kama mambo mengine yanazungumzika!!
 
Yah!Hilo sasa ni juu yao,na sijasema kuwa kutokuwaunga mkono kwangu kusababishe wao wasigome,mimi kama raia natoa maoni yangu na mtazamo juu ya sakata hili.

Kwa wengine siku hizi ni dhambi kutofautiana...utaambulia matusi na kuambiwa umetumwa na nape...ni hatari sana kuwa na forum ya wanaokubaliana kwa kila kitu...
 
Haijasajiliwa.
Si kamati rasmi katika organogram ya MAT.
MAT haiwezi kuitisha mgomo.
Madaktari si wanasheria lakini haihitaji kuwa mwanasheria kujua hili.
Hiyo kamati imeundwa na madaktari na inatambuliwa na madaktari,
Haihitaji kutambuliwa na chombo chochote isipokuwa madaktari.
Inaendeshwa kwa mujibu wa utashi wa madaktari wanogoma.
Inawaunganisha madaktari, virtualy, more than MAT does.
Haiogopi mahakama.
Serikali itumie busara na sio ubabe wa vyombo vyake vya dola.
umenifurahisha sana mkuu........... Perfect answers........ una IQ kubwa sana mkuu, nimekugongea like
 
Mdau kwa hiyo kwasababu wapo wachache ndiyo wapewe Mil3.5?Au sijakuelewa vizuri?Hata hivyo takwimu zako sina uhakika nazo sana kwamba jiji zima la mwanza Medical Dokta ni mmoja.Naomba nieleweke kuwa kweli madaktari wanachangamoto kubwa sana kiutendaji lakini pia naomba unikubalie kuwa katika kada za utumishi wa umma daktari ndiyo anaongoza kwa mshahara mkubwa na sasa hivi wamezidi kuongezewa maslahi kama Green Card ya NHIF ambayo wengine hawana na mikopo ya magari.Si kweli kwamba madaktari hawathaminiwi.
Duuh yaani unajiita great thinker wakati huwezi kuchambua mambo, au umetumwa na magamba.Shame on you
 
Hili ni jukwaa huru la kutolea mawazo juu ya mtazamo wako katika jambo husika.Sihitaji madaktari wanisikilize lakini natoa maoni yangu mkuu hebu kuwa muelewa.Ni suala lisilo pingika kuwa hao madaktari wenyewe hiyo sympathy hawana kwani hii ni mara ya ngapi kugoma?Tumeshawazoea waendelee tu na mgomo wao lakini kufanya kwao mgomo hakumaanishi kuwa wananchi wote tuwaunge mkono hata kama mambo mengine yanazungumzika!!
hata kama ingekuwa ni mara ya elfu moja kugoma........... Madaktari watagoma kila kukiwa na sababu ya kufanya hivyo, kuna daktari yeyote aliyekuomba sapoti yako?? Maoni yako yamesikika, ni vizuri na wewe ukafanya ka-research kidogo kujua the in-out ya mgomo huu kabla hujatoa maoni yako tena.......... you would be in a better position
 
Wengi wanaosapoti madaktari kugoma hawatibiwi huko temeke,amana au m'nyamala.kama wangekuwa wanatibiwa huko na wanakosa huduma au ndugu zao kufa wasingesapoti hawa madaktari. Kwangu mimi madaktari na serikali wote sawa tu selfish individual! Maslahi binafsi mbele utendaji nyuma

Nijuavyo mimi hakuna aliyesomea kuwa serikali ila kuna aliyesomea udaktari,hivyo daktari kudai haki yake sio ubinafsi.
 
Duuh yaani unajiita great thinker wakati huwezi kuchambua mambo, au umetumwa na magamba.Shame on you

Tupingane kwa hoja badala ya kuitana magamba,matusi na maneno ya kebehi si sifa ya Great Thinker!!
 
Back
Top Bottom