Sikubaliani na wewe hasa hapo kwenye kijani; labda uwe hujawahi kufika MNH.uone majeruhi wanaovuja damu wamelazwa chini tena wakati mwingine wawili wawili au zaidi. Madaktari wanadai serikari irekebishe hayo, ili hao ndugu zetu watibiwe mahali salama wewe unawaita wahun? ninawasiwasi na utanzania wakoTuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....