Madaktari waipiga changa la macho serikali

Madaktari waipiga changa la macho serikali

Hapa Punda anaweza akawa Pinda (serikali inalazimishwa kulipa ... ) au ni madaktari (madaktari wanalazimishwa kufanya kazi ....) au ?

tatizo la kila kitu kufanywa siasa na kufanya mahakama chombo cha serikali bila kujali kuwa nao ni mhimili unajitgemea.Pinda ni dhaifu kama raisi aliymteua.Hili halikuwa suala la akina komba kupiga mapambio ni suala so professional and technical, kosa la kwanza limerudiwa tena, je weledi wake kiutawala uko wapi hapa?na shaka na uwezo wake kitaaluma.tubadilike haiwezekani kila mahala ni matatizo, kero hazipati suluhu kwa wakati muafaka huku watendaji wapo , hii inatia shaka.
 
Hivi unaweza kukisia idadi ya madaktari Tanzania, hebu nikujuze hapa jiji la Mwanza lenye hospitali moja, health centre 4 na zahanati kama 9 hivi kuna daktari (MD) 1 tu! Wengine unaowaona wamevaa koti ndefu nyeupe ni kada zingine mf. Wafamasia, Radiolojia n.k MD wetu wengi wapo Botswana, Sudani, nk.

siyo kweli! Mwanza haiwezi kuwa na dkt. Mmoja.
 
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Mkirua kuna mambo huyajui. Kwanza kabisa hawa madaktari kwa maana nyingine wanailazimisha serikali itoe huduma stahili kwa wagonjwa. Siyo maslahi yao peke yao wanayodai. Ukiangalia sana na kwa undani wanataka wapewe vifaa vya kuhudumia wagonjwa kwa umakini zaidi. Wamechoka kuangalia watu wanawafia mikononi!

Wewe kama huungi mkono njia hiyo toa ushauri wafanye nini? Wewe serikali yetu waijua sawasawa? Wao wanatibiwa wapi?
 
Chief nafikiri unachanganya mambo!unapoenda kwenye meza ya mazungumzo unatakiwa uwe na mapendekezo kama mwanzo wa mazungumzo,ili mwisho mfikie makubaliano.hizo ndio pncple!pili madrs kwa kudai maslahi yao haimaanishi wanajiona bora kuliko wengine.,kama nawe unayako yatoe tu!hivi na hao walimu ambao wanataka kugoma wana mdharau nani!?fikiri na uchukue hatua.
Na kama si mgomo binafsi wa madrs ultaka wagomewe na kina nyinyi ambao mnaona ni wabinafsi!!!?
 
Mshahara wa daktari ukiongezwa mpaka mil 3.5 kwa mwenye bachelor anayeanza kazi nawaapia jamani tutegemee reaction kubwa sana kutoka kwenye kada nyingine za wafanyakazi wa umma!Ni kweli kuwa madaktari ni wa muhimu sana lakini kwa uchumi wa Tz huo mshahara hautekelezeki,pia kila mfanyakazi wa umma ana umuhimu kwa jamii husika,hili suala la kujiona bora kuliko wengine kwakweli mimi siliafiki kabisa!
Madaktari sawa tunakubali kuna changamoto katika sekta yenu na zinahitaji kutatuliwa lakini kuingia kwenye mgomo binafsi siwaungi mkono hata kidogo.

Chief nafikiri unachanganya mambo!unapoenda kwenye meza ya mazungumzo unatakiwa uwe na mapendekezo kama mwanzo wa mazungumzo,ili mwisho mfikie makubaliano.hizo ndio pncple!pili madrs kwa kudai maslahi yao haimaanishi wanajiona bora kuliko wengine.,kama nawe unayako yatoe tu!hivi na hao walimu ambao wanataka kugoma wana mdharau nani!?fikiri na uchukue hatua.
Na kama si mgomo binafsi wa madrs ultaka wagomewe na kina nyinyi ambao mnaona ni wabinafsi!!!?
 
kumbuka madaktari wanatumia maisha yako au ya ndg yako kuhakikisha wao wanaishi maisha mazuri
. Madai yao yanaweza kuwa genuine lakini njia ya kuuwa ndg zetu ili wapate wanachohitaji hapo lipo tatizo. Je walimu nao wafanyeje? Je kwa njia hii nchi itatawalika kweli? Kumbuka viongozi wa serikali hawaathiriki na huu mgomo kwani wanazo pesa za kutibiwa popote duniani. Anaye unga mkono haya madai hajawaatendea haki the so called watanzania wa kawaida
kazi ya dr ni kutibu kama ambavyo kazi ya injinia ni kujenga,iyo ikiwa kichwani,pia wote wanamahitaji yao ya muhimu ikiwa pamoja na kusomesha na mengineyo mengi.pia wote wanapata vipato vyao huko wafanyapo kazi bila kujali mmoja ni tabibu na mwingine ni mjenzi.kama mgomo wa mdrs unaua ndugu zako,hiyo inatokana na ukweli mwenye dhamana ya maisha yao haoni umuhimu wa kumpa stahiki zake huyo dr ili kusiwe na mgomo.nime indicate hapo juu wote wanamahitaji na kama hayatimii ni dhahiri watafanya kila liwezekanalo wapati haki zao kwa mtoa mkate wao ambaye ni serikali!hivyo si sahihi kusema mdrs wanaua ndugu zako.
Hakuna mtu anaependa kugoma,na ukilaumu hilo ni sawa na kuangalia chanzo ulipoangukia badala ya ulipo jikwaa.embu tueleze ni njia gani nyingine itumike ambayo kwako itakuwa sahii!zimepita siku 90 toka hili sakata lilipoairishwa na hakuna la muhimu limefanywa na serikali!kwa hilo wewe kwa mawazo yako unaona nani ni muuaji hapo.aisee kusoma ni pamoja kuwa na uwezo wa kujikwamua kiuchumi,kifikra,kisiasa, na kuendelea.hakuna dr aliyesoma miaka mitano,hana nia ya kufa kwa magonjwa ya kuambukizwa kwa kukosa kinga kama gloves na vinginevyo,hana nia ya kushuhudia wagonjwa wanamfia wakati anajua nini kifanyike kuokoa maisha yake na iko ndani ya uwezo wake,anyway mwisho wa siku mgomo utazuiwa kwa kutekeleza mahitaji yao bila kujali unaunga mkono au laah!siri ya mtungi aijuae kata!!
 
serikali ya hii nchi iache porojo..iwape madaktari hako yao..mazingira wanayofanyia kazi hawa watu ni magumu mno....
 
kwa nini serikali haitatui matatizo ya watu hadi wagome?huu ni udhaifu wanatakiwa viongozi wote wajiuzulu au wabinafsishe vyeo vyao kama wanavyofanya katika mashirika ya umma uongozi umewashinda
 
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Umenena vema, na mimi ninakubaliana nawe kwa 100% ila ningependa kuongezea kitu kidogo katika kauli yako ya kwamba, tuache kusapoti upumbavu wa Serikali wa kutokujali hali za watumishi wake katika sekta mbalimbali na badala yake vigogo tu ndio wanaojipangia maslahi utadhani nchi hii ni mali yao binafsi.
 
kilichokufanya wewe uwe na uwezo wa kwenda Hindu Mandal,n.k ni uwezo wa kifedha.Unafanya kazi wapi hatujui,ni mfanya biashara hatujui,lakini una uwezo wa kujilipia matibabu.Hivi Daktari huwa haumwi? Akiumwa huwa anatibiwa wapi kama siyo hizo hospitali za serikali ambazo hazina vifaa,kama naye anaenda kujilipia hindu mandal nani anamlipia kwa kuwa anafanya usamaria serikalini.Tukisema wasigome tusemeje, iambie serikali hiyo lugha ili iseme hivyo madaktari wasitishe mgomo.
Tunachosema hapa ni kwamba serikali yenye dhamana ya kulinda afya za watanzania wote wenye fedha na wasio na fedha iwajibike.Nani aliwatuma wawape ahadi madaktari alafu wasizitekeleze.
Kwahiyo kufikiri kwako kumefikia hapo kuwa "wagome"?
 
Nani amekuambia kufikiri vizuri ni jambo rahisi? Kwa kuwa wewe ulishindwa basi suluhisho ni kugoma! Wewe binafsi ndiyo kipimo cha ugumu. Una akili kiasi gani. Kwa kufikiri huko na majumuisho yake ndiyo una akili?
Mimi nadhani kila binadamu ana uwezo wake tofauti na mwingine. Kuna watu pia waliondoka Mzumbe wakaenda Mhimbili na wakaweza. Tuseme nini basi? Tuzungumzie kuwa kama umechagua fani unapaswa kuifanya kwa ustadi mkubwa na sio kudekadeka. Katika dunia viumbe vinategemeana. Daktari na Mwalimu, Mhandisi nk. Tusianze kubishana hoja dhaifu ya nani ni nani, tuseme hata kama u bora kiasi gani ujue upo sababu na wengine pia wapo. Jiulize swali dogo tu ' Daktari bila mgonjwa anafaida gani? Bila mipango mizuri ya uchumi, uchumi utakuwa vipi ili tuwalipe vizuri Madaktari ( hapa wachumi wanahitajika) Mipango ikiwa mizuri bila usimamizi mzuri, itakuwaje. Mifano ni mingi lakini inasistiza kitu kimoja kuwa tunategemeana tusinyanyasane. Bora ungegombana na mtu mwenye Afya njema lakini unapogombana na fimbo yako inakuwa ni mtu mdhaifu/ mgonjwa mabavu yako hayathaminiwi hata kama vita hiyo ungeshinda.
 
Watumie vizuri nafasi yao ya kupiga kura ili wachague serekali makini itakayotumia vizuri rasilimali tulizojaliwa ili wafanyakaze wote walipwe vizuri..

Ambacho sikubaliani nacho hapa ni kushabikia matendo yatakayopelekea madhara kwa wasioukuwa na hatia kwa sababu tu tunataka kuiadhibu serekali ambayo to my opinion haiathiriki katika hili...

sawa sawa kabisa mpendwa,

watu wanichagua CCM kwa kishindo, kisha eti wanagoma, wanawaua wapendwa wetu wasio na hatia huku wakijua fika kuwa wabaya wao wanatibiwa hata mafua tu hukooooo, india tena kwa hela ya jkodi zetu. kwa kweli haya siyaungi mkono, na madaktari wakigoma na kufa watu, basi wao ndio wauaji.

ubarikiwe sana,

Glory to God!
 
npo maeneo ya muhimbili,ngoja nicheki hali halisi ikoje!
Si ungecheck kabla ya kuandika, hii inasaidia nini kusema nipo maeneo ya muhimbili ngoja nichecheck hali ikoje. Unapoteza muda wa wasomaji hapa kwa kupost kitu ambacho hakina tija loh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom