Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
mkuu Mkirua, learn via experience! Mgomo wa walimu waliuzuia mahakamani wakiahidi kuufanyia kazi. Hola hadi leo! Walimu wameweka chaki chini (unafiki)! Madaktari hawataki unafiki hivyo hawawaigi walimu!