This is not true... Kama ni kugoma then it will be due to failure of the government to honor their promises
Is nyoni still in the ministry?
Mbona ni madaktari hao hao ndio huwa wana-recommend watu wa kupelekwa nje kwa matibabu zaidi?
Waache usanii bana!
Madaktari waliorudi kazini hivi karibuni wanaandaa mgomo mwingine mkubwa.Mgomo huo uliopachikwa jina la 'Mgomo wa Ukombozi na Hadhi' uunapanga kuishinikiza Serikali kuacha maramoja kutumia fedha za walalahoi-watanzania kwa kuwasafirisha nje ya nchi viongozi kwa ajili ya matibabu hata ya magonjwa yanayotibika nchini.Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali,kitendo hicho ni dharau kwa tasnia nzima ya utabibu nchini Tanzania.Wengine wameongeza kuwa kutokana na viongozi karibu wote kupata matibabu nje ya nchi,hata mgomo wa awali ulipuuzwa kwakuwa viongozi hawaathiriki kwa lolote.Madaktari wanahitaji mabadiliko.Matumizi yasiyo ya lazima pamoja na dharau ziepukwe.Serikali na isikie,isipuuze...
Sasa huo mgomo watagoma kuwatibu viongozi tu au watu wote?Kama watagoma kwa watu wote nathubutu kusema kuwa uwezo wao wa kufikiri na kutafakari ni mdogo sana na hawafai kuwa watumishi wa umma!!