Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

baptist

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
426
255
MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA

Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu,

Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi

Na kifungo hiki hutengeneza kovu za wokovu ndani ya Moyo wa mtu kwa kuwa kumbukumbu hizi huwa hazifutika kwa uharaka ndani ya mtu

Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako na kwake pia,

Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,pengne ni wakatili na wengine ni kama mashetani kabisa hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani ya miili yao n.k ,

Tendo hili la Kuacha Sehemu yako au sehemu yao inabaki kwako Kiroho linaweza kufanyika kuwa ( Vifungo vya Nafsi) nafsi yako huwa inafungwa na nafsi ya Yule mtu unayekutana naye kimwili

imagine kuwa wewe upo chini ya Roho za kipepo toka kwa familia yenu ,mfano roho ya wizi ,uzinzi ,uchoyo,hasira n.k then una kutana na mwanaume au mwanamke naye ana maroho ya kwao.

hivyo unamwambukiza maroho naye anakuambuzi maroho, kama wewe ni mwanaume na una wanawake watano na wote mnakutana kimwili hii inamaana ndani ya nafasi yako kuna wanawake watano,

Wanawake hawa kila mmoja atakuwa na maroho ya kwao hivyo ni rahisi wewe kuwa na maroho mengi zaidi

Kukutana kimwili ni agano Kubwa sana katka Kiroho/ulimwengu wa giza na ndio chanzo kikuu cha kusambaza mapepo ya ngono n.k kuliko tunavyoweza kufikiria

Tendo la Kukutana kimwili na mtu huwa nafsi za wahusika zinafungwa pamoja ndiyo maana ni rahisi kukuta mtu alikuwa tajiri lakini baada ya kukutana na mtu kimwili akaanza kuporomoka , au mtu alikuwa vizuri kiroho lakini anapokutana na mtu kimwili ghafla anashuka

(Pia hata mwanamke uliyekutana naye kimwili ni vyepesi sana kukudhuru kupitia vitu ulivyo viacha kwako)

Jitahidi sana kuepuka zinaa na tiba ya kuiepuka ni kuikimbia kwa ZINAA Hua kimwili na kiroho(kimbia kama Yusufu alivyomkimbia mke wa Potifa)
# 1 kornt 6:18
*18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe .

Niwatakie jumapili njema ya leo
18/04/2021
 
Mleta uzi unajua nini maana ya zinaa? Vijana wa jinsia mbili tofauti ambao hawajaoana wanapokutana kimwili huwezi ukaita hilo tendo ni ZINAA bali ni UASHERATI mkuu.

Ukisoma biblia katika amri kumi za MUNGU imeonya kuhusu zinaa ila haikuongelea kuhusu uasherati.

Hivyo basi, vijana wa jinsua tofauti tupo huru kukwanguana kwa sababu hutufanyi ZINAA.

ZINAA ni pale ambapo kati ya mmoja wa wanandoa anakutana kimwili na mtu ambaye siyo mume au mke wake.
 
Hivi siyo mbinu ya wazungu kudhibiti kuzaliana kwetu kweli? Maana inakuwaje mapenzi ya jinsia moja siyo dhambi ila kuwa na mke zaidi ya mmoja dhambi, kufanya mapenzi kabla ya ndoa dhambii ee mambo mengi sana hapa duniani.
 
Mleta uzi unajua nini maana ya zinaa? Vijana wa jinsia mbili tofauti ambao hawajaoana wanapokutana kimwili huwezi ukaita hilo tendo ni ZINAA bali ni UASHERATI mkuu.

Ukisoma biblia katika amri kumi za MUNGU imeonya kuhusu zinaa ila haikuongelea kuhusu uasherati.

Hivyo basi, vijana wa jinsua tofauti tupo huru kukwanguana kwa sababu hutufanyi ZINAA.

ZINAA ni pale ambapo kati ya mmoja wa wanandoa anakutana kimwili na mtu ambaye siyo mume au mke wake.
Ndo mana wakatoliki wanaruhusu kua na mpenz
 
Flee sexual immorality. Every sin that a man does is outside the body, but he who commits sexual immorality sins against his own body. Or do you not know that your body is the temple of the Holy Spirit who is in you, whom you have from God, and you are not your own? For you were bought at a price; therefore glorify God in your body and in your spirit, which are God’s.
I Corinthians 6:18‭-‬20 NKJV

Biblically, sexual immorality is defined as any activity, (in the realm of sexuality of course), that lies outside a marriage relationship, and biblically, a marriage relationship is defined as one man and one woman
 
Tusipangiane bro maisha haya yalivyokuwa magumu halaf uanze kuishi na mtoto wawatu kisa ile ndude tu!! Hapana
 
MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA

Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu,

Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi

Na kifungo hiki hutengeneza kovu za wokovu ndani ya Moyo wa mtu kwa kuwa kumbukumbu hizi huwa hazifutika kwa uharaka ndani ya mtu

Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako na kwake pia,

Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,pengne ni wakatili na wengine ni kama mashetani kabisa hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani ya miili yao n.k ,

Tendo hili la Kuacha Sehemu yako au sehemu yao inabaki kwako Kiroho linaweza kufanyika kuwa ( Vifungo vya Nafsi) nafsi yako huwa inafungwa na nafsi ya Yule mtu unayekutana naye kimwili

imagine kuwa wewe upo chini ya Roho za kipepo toka kwa familia yenu ,mfano roho ya wizi ,uzinzi ,uchoyo,hasira n.k then una kutana na mwanaume au mwanamke naye ana maroho ya kwao,

hivyo unamwambukiza maroho naye anakuambuzi maroho, kama wewe ni mwanaume na una wanawake watano na wote mnakutana kimwili hii inamaana ndani ya nafasi yako kuna wanawake watano,

Wanawake hawa kila mmoja atakuwa na maroho ya kwao hivyo ni rahisi wewe kuwa na maroho mengi zaidi

Kukutana kimwili ni agano Kubwa sana katka Kiroho/ulimwengu wa giza na ndio chanzo kikuu cha kusambaza mapepo ya ngono n.k kuliko tunavyoweza kufikiria

Tendo la Kukutana kimwili na mtu huwa nafsi za wahusika zinafungwa pamoja ndiyo maana ni rahisi kukuta mtu alikuwa tajiri lakini baada ya kukutana na mtu kimwili akaanza kuporomoka , au mtu alikuwa vizuri kiroho lakini anapokutana na mtu kimwili ghafla anashuka

(Pia hata mwanamke uliyekutana naye kimwili ni vyepesi sana kukudhuru kupitia vitu ulivyo viacha kwako)

Jitahidi sana kuepuka zinaa na tiba ya kuiepuka ni kuikimbia kwa ZINAA Hua kimwili na kiroho(kimbia kama Yusufu alivyomkimbia mke wa Potifa)
# 1 kornt 6:18
*18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe .

Niwatakie jumapili njema ya leo
18/04/2021
Sasa sjui mwili utaelewa
 
Barikiwa sana kwa neno zuri."Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki".2Timotheo 3:16
 
Mleta mada, kwa maoni yangu umejaribu kueleza kwa ustadi mkubwa uliojaa uanaharakati wa kidini ili kumsaidia adui yaani nchi za magharibi katika kufuta mila, tamaduni na dini zetu za kiafrika. Naona adui amefanikiwa sana katika hili kwa kutumia askali walio miongoni mwetu kuharibu na kuvunjavunja mila na tamaduni zetu nzuri kwa jina Ukristo. Kukutana kimwili kabla ya kiitwacho ndoa, kwangu Mimi kuna faida zaidi kuliko kusubili mpaka eti mfunge ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom