Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pombe ni mzuri sana, lakini ni chanzo kikubwa cha umaskini,HIV,ajali za barabarani,ongezeko LA watoto wa mitaani,mada kesi nyingi,mmomonyoko wa maadili na magonjwa yasiyoambukiza (moyo,figo n.k).
Mara nyingi ni vizuri kunywa pombe wakati wa furaha kuacha ni rahisi kuliko kunywa pombe kuondoa/kusahau tatizo.
Kila kitu kwa kiasi... Hata chakula ukizidisha utavimbiwa
 
Kunywa Pombe Ili Ikusahaulishe Matatizo Ni Mbaya Sana
Pombe ni mzuri sana, lakini ni chanzo kikubwa cha umaskini,HIV,ajali za barabarani,ongezeko LA watoto wa mitaani,mada kesi nyingi,mmomonyoko wa maadili na magonjwa yasiyoambukiza (moyo,figo n.k).
Mara nyingi ni vizuri kunywa pombe wakati wa furaha kuacha ni rahisi kuliko kunywa pombe kuondoa/kusahau tatizo.
 
Alafu Vuga patamu..nimewah kaa siku 1..sema huduma na wahudumu wake waziitoo nilijisevia kila kitu kuanzia vinywaj na msos wazito balaa..hv hii Vuga sio ya yule mshikaj mwenye ulemavu wangozi kweli??pazuri sana ...waboŕeshe huduma tu
Yes Ni pa huyo dogo ila kweli wahudumu wazito sana lakini pana Kongoro la ukweli na nyama choma safi kabisa
 
Tunaondoa lock
IMG_20190505_104721.jpeg
 
Yes Ni pa huyo dogo ila kweli wahudumu wazito sana lakini pana Kongoro la ukweli na nyama choma safi kabisa

Huyo dogo ni mtata jaman..haha aliwah lianzisha pale kwa don usk m1 sina hamu..alafu anakunywa nyagi had machupa ma3..km ana frastuation vile..ila computer imelala pale jaman..alafu ana akili sana..!ila ni peace tu..pazuri wahdumu sijui warangi wale..yaan arghh
 
Mtata kama mtu akimzingua lakini mtu peace sana kwa Maji yetu dogo yupo vizuri anapulling ya kufa mtu, Ana masters ya mambo ya ICT aliioatia Malasia kwa kweli yupo vizuri.
 
Yes..yupo safi ..alinitambulisha hubby..bas nikimuonaga huwa nacheka sana jaman😁😁...yule Mrangi anakaa!kichwa balaa
 
hahaha...nakuletea sampo...sio mwingi sana wa kulipishana bwana...!sema siku nikija Kibaha sasa[emoji6][emoji6]naagiza red wine kbsaa[emoji3][emoji3][emoji3]..nazikata huku najitikisa tu miguu[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23], utagida kuanzia dompo mpaka Robertson bila kusahau alter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom