Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pombe ni mzuri sana, lakini ni chanzo kikubwa cha umaskini,HIV,ajali za barabarani,ongezeko LA watoto wa mitaani,mada kesi nyingi,mmomonyoko wa maadili na magonjwa yasiyoambukiza (moyo,figo n.k).
Mara nyingi ni vizuri kunywa pombe wakati wa furaha kuacha ni rahisi kuliko kunywa pombe kuondoa/kusahau tatizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
J Pili Inaishia
20190505_191451.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom