Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_0007.JPG


Mdogo mdogo
 
Nipo vuga Restaurant Moro safari bia kubwa ianashuka kweli View attachment 1083564


Alafu Vuga patamu..nimewah kaa siku 1..sema huduma na wahudumu wake waziitoo nilijisevia kila kitu kuanzia vinywaj na msos wazito balaa..hv hii Vuga sio ya yule mshikaj mwenye ulemavu wangozi kweli??pazuri sana ...waboŕeshe huduma tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom