Hahahaha, hongera Sana, kuna mmoja yuko Azura Fitness nae anazikusanya sana hizo medal , ni za ushiriki tu au mnashinda ?
Mkuu tumbo langu mimezoea kupokea mixer mixer ani apo usiku nililala usingizi poa sana..Mkuu huogopi kuarisha karanga mixer mbege.
Hebu ngoja kwanza; alimzungua saa ngapi?Nimeamkia baa mzee nipo na shemeji angu namliwaza baada ya kuzinguliwa na mchizi
Nikipewa dawa, kitu cha kwanza kuuliza baada ya kupewa maelekezo ya umezaji ni hichoHaya maswali hakuna mnywa pombe ambae hajawahi kuuliza [emoji23][emoji23] ina maana wewe huna namba ya dr
Castle milk atalewa kesho yake alafu akute anaetaka kumpandishia hasira hayupo mkuuBalimi, castle milk na Bavaria 8.5
Hapa ulimpotezaZe kick [emoji23][emoji23]
Walioudhuria wangemuambia bado mwaka 1 uondoke waone reaction yake?[emoji23][emoji23][emoji23]Viwanjani tunatafakari kauli ya leo
"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."-
[emoji40][emoji40]Viwanjani tunatafakari kauli ya leo
"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."-
Kuna lile gari linatisha aise [emoji1787][emoji1787]Walioudhuria wangemuambia bado mwaka 1 uondoke waone reaction yake?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hapa ulimpoteza
Wacha tuchapage tu...
Majokofu yana miili?Viwanjani tunatafakari kauli ya leo
"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."-
Huyo aliyesimama,asee anaonekana.......Tuanze weekendView attachment 1087115
Hahahahaaa.. anaonekana nini??Huyo aliyesimama,asee anaonekana.......