[emoji23] ulitafuta kisingizio.Mi hapa ndo naacha kabisa naona imeniletea shida na familia.Jana niliongea vitu vya ajabu havijawahi tokea imebidi nmwambie wife nmerogwa.ila kiu kweli mitungi imenisaliti inabidi nipumzike kama sio kuacha.
Ee mkuu mana niliharibu mbaya[emoji23] ulitafuta kisingizio.
Shukrani sana boss. Location inasoma kijiji kimoja usukumani huku..Pasaca njema bosi ,unakaribishwa sana kino
Mdogo mdogo mkuu tunatafuta njaaMnakata dawa mkuu?
Ipo safi sana hyo ijaribu hyo..ila uanze maziwa kwwnza,ukianza k vant inakatikaNaona umetengeneza amarula ya kienyeji[emoji23]
Dah. Hii misala huwa inatia stress sana.Ee mkuu mana niliharibu mbaya
Hizo pombe kali mm Mkuu nimeamua kusitisha kwa muda usojulikana.Ipo safi sana hyo ijaribu hyo..ila uanze maziwa kwwnza,ukianza k vant inakatika
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] naona upo kwenye viunga vyakoIpo safi sana hyo ijaribu hyo..ila uanze maziwa kwwnza,ukianza k vant inakatika
Shukrani sana boss. Location inasoma kijiji kimoja usukumani huku..
Hahaahaha ndio ndio leo mapemaa tu...saa mbili mtu kashachakaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] naona upo kwenye viunga vyako
Isha niharibia siku natoa stress JFDah. Hii misala huwa inatia stress sana.
Capripoint wazee wa Yatch Club...Hahaa sawa bosi mi nimwenyeji wa huko maene ya capripoint but now nipo uzaramoni huku
Capripoint wazee wa Yatch Club...
Mitaa hiyo huwa nikifika ni kufuata mtu, ila Villa Park ndio haswa area yangu.Ndio mzee,sie members wa kudumu hapo
Nadhani itakuwa ni furaha ya kufufuka Masiah[emoji28]Sijui ndo kuokoka kuna ninyemelea sina mzuka na pombe kabisa
Hivi villa park bado pa moto? Vipi mwanza hotel bado pako poa?Mitaa hiyo huwa nikifika ni kufuata mtu, ila Villa Park ndio haswa area yangu.
Mwanza Hotel bado ipo, unajua ni mali ya NHC ukizingatia na Location yake ile, ni ngum kupotea..Hivi villa park bado pa moto? Vipi mwanza hotel bado pako poa?
Mwanza Hotel bado ipo, unajua ni mali ya NHC ukizingatia na Location yake ile, ni ngum kupotea..
Villa still ni best place mkuu.. Live band, msosi, club... + 'Viburudisho' pale ndio nyumbani[emoji28]