harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Hili Jukwaa halina mlevi kiwango cha pierePiere the liquid ametupia comment?? Km bado ngoja nikae pemben kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili Jukwaa halina mlevi kiwango cha pierePiere the liquid ametupia comment?? Km bado ngoja nikae pemben kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah yeye tu anajichagulia akhera au mbinguni[emoji23][emoji23][emoji85]Alafu maarifa inaonyesha imekataga moto kitambo jamaa anajichagulia tu chakufanya [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah yeye tu anajichagulia akhera au mbinguni[emoji23][emoji23][emoji85]
Jr[emoji769]
Maji yalikuwa mengi...
Nilikunywga moja hyo gongo la mboto wakati fulani aise jamaa alijitahidi maana gongo ilikuwa kama nyagi ladhaa alafu haikuwa na kiarufuGongo ni kilevi bora kwakuwa ni locally made hivyo haina kemikali... January Nikita kijijini na konyagi mzinga mzima kichwani nikapiga kichupa cha Gongo... Nyagi yote ilikata
Jr[emoji769]
Heavy aisee marathon kwelikweli.
Mtafute muhudumu anaitwa JASMIN hapo mwambie akupe bia mbilii hela kwangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo aliyelala ndio huyo amekuja na hicho kikapu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]