Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Doh Liverpool ni shida
IMG-20190409-WA0057.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lazima utakua unatania..

Sent using Jamii Forums mobile app
sitanii mkuu,kuna uzi nimefungua hapa ngoja nita ku tag mara ya mwisho kunywa valeur na beer 5 ilikuwa mechi ya tanzania vs uganda katika bar ya kb tegeta kibo, hapo katikati nikapata majanga mazito,3 weeks nipo sober badala inisaidie inanitia hasira yani hali niliyonayo kuanzia jana na leo ndo nimejua kwa nini mateja ya unga yanaibaga hadi chupi ili yakavute unga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom