Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Gongo ni kilevi bora kwakuwa ni locally made hivyo haina kemikali... January Nikita kijijini na konyagi mzinga mzima kichwani nikapiga kichupa cha Gongo... Nyagi yote ilikataWazee wa zaman walikunywa gongo Kali mbona hawakuugua hizo figo
Aisee Mkuu Mshana Jr, nimeonja hiyo mbege maeneo ya D'light bar hapa arusha. Tumbo liliniuma balaa hata sikuimalizaJana nimeliamsha dude rasmi... Mbege mixer nyagi [emoji848][emoji23]View attachment 1064702View attachment 1064703View attachment 1064704
Jr[emoji769]
Gongo ni kilevi bora kwakuwa ni locally made hivyo haina kemikali... January Nikita kijijini na konyagi mzinga mzima kichwani nikapiga kichupa cha Gongo... Nyagi yote ilikata
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]pole ungeifanyia kolabo na kaliAisee Mkuu Mshana Jr, nimeonja hiyo mbege maeneo ya D'light bar hapa arusha. Tumbo liliniuma balaa hata sikuimaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda ficha sura ya huyo Dada mambo yasiwe mengimengi yakawa mambo.
Sitamani kuirudia niliacha glass nzima aisee...[emoji23][emoji23][emoji23]pole ungeifanyia kolabo na kali
Jr[emoji769]
Naona jana ulilala na grader...
Pole mkuu mbege nzuri na ya watu wajanja ni kwa Balthazar burkaAisee Mkuu Mshana Jr, nimeonja hiyo mbege maeneo ya D'light bar hapa arusha. Tumbo liliniuma balaa hata sikuimaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu embu kunywa maji mengi ukate ulevi maana naona bado umelewa si kwa kumuanika huyo dada hivyo
Nimekosa pombe ya baridi, imebidi niamshe na hii.. Mdau akaniambia ni nzuri ukimix na coca.Dah mixer zangu hizo ila mimi namix na nyagi... Moto juu ya fire
Jr[emoji769]
Pole sanaSitamani kuirudia niliacha glass nzima aisee...
Maana nilikuwa kama na Bloat, tumbo lilijaa gesi kwelikweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah pia sio mbayaNimekosa pombe ya baridi, imebidi niamshe na hii.. Mdau akaniambia ni nzuri ukimix na coca.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]af jamaa ni msafiri kashukia gest na kwenda bar kuchukua maarifa na bia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo aliyelala ndio huyo amekuja na hicho kikapu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Halafu hiyo gesti ina room service zote[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]af jamaa ni msafiri kashukia gest na kwenda bar kuchukua maarifa na bia [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu maarifa inaonyesha imekataga moto kitambo jamaa anajichagulia tu chakufanya [emoji23]Halafu hiyo gesti ina room service zote[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Kunywa tu mkuu kama ngamia vikiacha kukazi utajazia mwanamke nyongaDah basi itabidi nivumilie tu ntakunywa maji.