124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,526
Jaman wa huku visiwan hizo bei ndio maana tukija Dar tunafunga bar .Nimeshangaa kuona baadhi ya Bar bia zimepanda bei tofauti na matarajio yangu badala ya kuwa 1000 kwa bia ndogo kutoka 1500 sasa ni 1800.
Zikifika 2000 wallah naanzisha mgomo.
Huku bei chini nin3000 tena serengeti castle lite hizo xingine 3500 lager.
Wine ya kipumbavu ya 8000 dar huku inatembea 20k.
Hakuna diku niliyotia maguu Dar nikawa salama huwa naenda holiday Bar home naonekana asubuh kuja kubadili nguo na kuwaamkia wazee!
Mpaka siku moha bi mkubwa akaniuliza hv huwa unakuja kutusalimia au kukutana na walevi wenzako?
Kuwe na usawa wa bei wajameni !
Sent using Jamii Forums mobile app