Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,724
- 99,584
Lawama sio mzigo
MTC | 101| [emoji769]
Lawama sio mzigo
TushazoeaLawama sio mzigo
MTC | 101| [emoji769]
Umenikumbusha mbali sana.Usngg tu mangi kalala
Tutabomoa mlango tutoe vyombo
Tuendeleee
Kamati ya wazee wa tungi kesho tunapanga tusipige vyombo au tupige kihomehome tu
Maana Wageni washamba wengi watakuwa
Wanajaribu kunywa tungi kwa mara kwanza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo utawashangaa watu. Kama vyuma vimekaza asije huku kuna majukwaa kibao
Mkuu kumbe unawanyaka, maombi yao umpangishie na ombi lingine umfungulie ki pub[emoji3]Huyo naye malengo yake hayapo realistic, angeomba hata umfungulie ki pub
HahahaUmenikumbusha mbali sana.
Tuliwahi kubomoa frigi mahali tukajiudumia baada ya mhudumu kuondoka eti mda wake umefika
God save us
Tunalewa nyie wadau ,niko mjini kwenu tayari
MTC | 101| [emoji769]
Mzee baba, tuko pamoko.. UmkhombothiAsubuh yangu after church naianza namna hiiView attachment 1052779
Sent using Jamii Forums mobile app