Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Rafiki mie mzima karibu bongoHahahaha, Rafiki mambo
MTC | 101| [emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki mie mzima karibu bongoHahahaha, Rafiki mambo
MTC | 101| [emoji769]
Nani amekuita humu....sepa kimpango wako alaa kwa taarifa yako huu ni uzi wa kudumu....
Uko bongoHahahaha, Rafiki nafurahi km u mzima ,ahsante kwa ukaribisho
MTC | 101| [emoji769]
Sawa rafiki nyumbani kumenoga[emoji28][emoji28]Hahahaha, Rafiki nafurahi km u mzima ,ahsante kwa ukaribisho
MTC | 101| [emoji769]
KabisaNani amekuita humu....sepa kimpango wako alaa kwa taarifa yako huu ni uzi wa kudumu....
Oi npe codeHahahaha, Rafiki nafurahi km u mzima ,ahsante kwa ukaribisho
MTC | 101| [emoji769]
DuhMasai waliuza kwa mwanangu richy
Wakina gerald/Sam mafala tuuuu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,we Mzee ushaanza kula advance muda hii ,week end nzuriOi npe code
Nshachkua advance ya kazi wapi hiyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapema sanaHahahaha ,we Mzee ushaanza kula advance muda hii ,week end nzuri
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha, sawa sawa hivi ofa ya RC lini? Nasikia Masaa Sita ,gambe linashushwa bei
Ofa hiyo watakunywa washambaHahaha, sawa sawa hivi ofa ya RC lini? Nasikia Masaa Sita ,gambe linashushwa bei
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ah nko tungi alafu leo kna mchongo mmja napiga kwa wasabato
Kila jumamosi inaangukia kwaoo aise hizi lawama sasa ila naona sahvi washanijulia
Tunakwendaaa Sawa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Lawamaa a[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]