mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,423
- 138,193
Mbishi ndani galapo ilalaHahahaha, Rafiki mambo
MTC | 101| [emoji769]
Salute Katibu..
Wakimaliza vinjwaji watakuja kukujibu mkuu.
Hii galapo ilala ,ndio ile ile ya wale jamaa wa Masai kinondoni ?
Masai waliuza kwa mwanangu richyHii galapo ilala ,ndio ile ile ya wale jamaa wa Masai kinondoni ?
MTC | 101| [emoji769]
Nko bwaxxxx mpaka muda huuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Usngg tu mangi kalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Sawa mzeeKesho Mungu akijaalia itakua siku yetu wakuu. Yaani popote tulipo tuombe tu Stars ishinde na Lesotho i droo au ifungwe ili tuzishughulikie vya kutosha hizi vitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usngg tu mangi kalala
Tutabomoa mlango tutoe vyombo
Tuendeleee
Kamati ya wazee wa tungi kesho tunapanga tusipige vyombo au tupige kihomehome tu
Maana Wageni washamba wengi watakuwa
Wanajaribu kunywa tungi kwa mara kwanza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah nko tungi alafu leo kna mchongo mmja napiga kwa wasabato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Karibu habari yako. [emoji41][emoji41]Ah nko tungi alafu leo kna mchongo mmja napiga kwa wasabato
Kila jumamosi inaangukia kwaoo aise hizi lawama sasa ila naona sahvi washanijulia
Tunakwendaaa Sawa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app