Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

d393a502-60fd-433b-8498-9ac1aba4486c.jpg


Coco beach moja, karibuni wadau
 
Wakuu nahisi nina tatizo. Na nikiri nahitaji msaada wa ushauri.

Kuna mtu nilifanya naye biashara ya pesa nyingi kidogo. Lakini ilienda ndivyo sivyo. Ilinilazim kulipa hasara iliyotokea. Baadae nikaja gundua it was a mission ambayo yule dada aliisuka.

Nilikua mpole nikitafakari cha kufanya. Lakini kila nikinywa pombe napata hasira na kujikuta nikitamani kumdhulu yule dada. Nimejaribu sana kupambana na mawazo haya, bado yanarudia.

Jana saa 7 usiku nimewasha gari natoka shinyanga kwenda mwanza kumfuata yule dada... Njiani nilighairi safari nikarudi.

Kila nikiwa nakunywa pombe fikra hizi zinanirudia.

Naombeni ushauri niepuke vipi fikra hizi?





Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ngoja nijaribu kukushauri kidogo achana nae mzee Pesa everything vinatafutwa Utapata tu kupitia kitu kingine utamfanya kitu then utaishia jera utaharibu kila kitu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom