Nini shida mkuu?Aisee hii wiki haikuwa poa sana kwangu nimeshindwa kabisa kulipa kodi
Pole mkuu.Nilikuwa nna dose mkuu ila nimeimaliza jana hapa nnasubiri masaa 24 yakatike ifikapo saa 9 alasiri nikakate kiu na kujipongezab
Mkuu pale KANA yesu alifanya nini vyombo baada ya kukataWalevi WOTE kwao ni Jehanamu ya Moto na Kiberiti; Mada hii ifungwe mara moja na kutafakari hasara zilizosababishwa na ulevi na kulewa. Mgeukieni Bwana Yesu awaokoe; kwa nguvu yako huwezi kuacha pombe. Mtafute Mungu kupitia hapa jamii forum kwa msaada
Nyagi+sprite zeroShow za kibabe ndio hizo
Jr[emoji769]
Dah. Shukrani mkuu. Kwa kweli hii issue imenivurugia siku kabisa.Pole kwa mkasa wa jana aisee
Jr[emoji769]
Dah. Shukrani mkuu. Kwa kweli hii issue imenivurugia siku kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipande fulani mbagala hakina JinaPole kwa mkasa wa jana aisee
Jr[emoji769]
Rafiki uniletee zawadi Vitenge[emoji23][emoji23]Hahahaha, j3 niko bongo kula pasaka, utanipa ramani ya hapo Juliana
MTC | 101| [emoji769]
Nimeona madolari tuuu[emoji28][emoji28]View attachment 1051498
Baada ya leo kukamilisha moja ya mchongo wangu na kumaliza dose ya mabakteria nimeamua kujipongeza hivi
View attachment 1051500
$$$$ hizo mkuu macho kuona basiView attachment 1051498
Baada ya leo kukamilisha moja ya mchongo wangu na kumaliza dose ya mabakteria nimeamua kujipongeza hivi
View attachment 1051500