Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi leo nina hamu ya kukamata mmojaLeo mdg mdg
Nishaingia ndani nmejifungia
Leo wanga watashukuru maana usiku tunawatibulia madili yao
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ripoti Ndugu Mwenyekiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi leo nina hamu ya kukamata mmoja
Jr[emoji769]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi leo nina hamu ya kukamata mmoja
Jr[emoji769]
Walevi WOTE kwao ni Jehanamu ya Moto na Kiberiti; Mada hii ifungwe mara moja na kutafakari hasara zilizosababishwa na ulevi na kulewa. Mgeukieni Bwana Yesu awaokoe; kwa nguvu yako huwezi kuacha pombe. Mtafute Mungu kupitia hapa jamii forum kwa msaadaKwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Disco limeingia mmasai....!!! Ndugu yangu ya kaisari mpe kaisari... Hapa sio sinagogi tafadhaliWalevi WOTE kwao ni Jehanamu ya Moto na Kiberiti; Mada hii ifungwe mara moja na kutafakari hasara zilizosababishwa na ulevi na kulewa. Mgeukieni Bwana Yesu awaokoe; kwa nguvu yako huwezi kuacha pombe. Mtafute Mungu kupitia hapa jamii forum kwa msaada
Nyie wanafki wakubwaaa mnatenda zambiWalevi WOTE kwao ni Jehanamu ya Moto na Kiberiti; Mada hii ifungwe mara moja na kutafakari hasara zilizosababishwa na ulevi na kulewa. Mgeukieni Bwana Yesu awaokoe; kwa nguvu yako huwezi kuacha pombe. Mtafute Mungu kupitia hapa jamii forum kwa msaada
Wao kwenye masinagogi wafanya mambo yote ya ajabu mbn hatuwaingiliiiDisco limeingia mmasai....!!! Ndugu yangu ya kaisari mpe kaisari... Hapa sio sinagogi tafadhali
Jr[emoji769]
Ukijiajiri wewe ndio le boss , kila kitu ni wewe Na unajilipa Mshahara unaoutaka , raha sana
Huko Jehanamu umewahi kufika mkuu?Walevi WOTE kwao ni Jehanamu ya Moto na Kiberiti; Mada hii ifungwe mara moja na kutafakari hasara zilizosababishwa na ulevi na kulewa. Mgeukieni Bwana Yesu awaokoe; kwa nguvu yako huwezi kuacha pombe. Mtafute Mungu kupitia hapa jamii forum kwa msaada
Anazingua huyuHuko Jehanamu umewahi kufika mkuu?
Sent from my iPhone using Tapatalk