Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu namaanisha kunywa bila kusahau kula. Japo nyamayama, kongoro, supusupu na vinavyofanana na hivyo.
Kukaliwakaliwa na baa medi napo kuna nafasi yake muhimu sana ulevini mrangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuangalia mapaja pasipo kuyatendea haki, na baada ya kulewa kuwatongoza bila kuondoka nao, ni kachumbari tosha ya kinywaji..[emoji56][emoji56][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mrangi yaelekea baa isiyo na bar maid hutii maguu kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Natiaaa mguu mbona
Bar maid washkaji zetu tukipiga wao wanachezesha tunakunywa.....[emoji23][emoji23]
Sahv nko pande fulani na wana uswaziii
Tunakata maji

Ova
20190317_132731.jpg
20190317_132326.jpg
20190317_132315.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nahisi nina tatizo. Na nikiri nahitaji msaada wa ushauri.

Kuna mtu nilifanya naye biashara ya pesa nyingi kidogo. Lakini ilienda ndivyo sivyo. Ilinilazim kulipa hasara iliyotokea. Baadae nikaja gundua it was a mission ambayo yule dada aliisuka.

Nilikua mpole nikitafakari cha kufanya. Lakini kila nikinywa pombe napata hasira na kujikuta nikitamani kumdhulu yule dada. Nimejaribu sana kupambana na mawazo haya, bado yanarudia.

Jana saa 7 usiku nimewasha gari natoka shinyanga kwenda mwanza kumfuata yule dada... Njiani nilighairi safari nikarudi.

Kila nikiwa nakunywa pombe fikra hizi zinanirudia.

Naombeni ushauri niepuke vipi fikra hizi?





Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakushauri vipi wakati hatujui dili ilikuwa ipi

God save us
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom