theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Nilikuwa hapo jana kaka, kumbe martha ameshasepa
Nimeuliza hapa wanasema anaumwa aisee au ni janja zao hawa...
Kuna mdada amesuka white fulani hivi..

Wakuu nahisi nina tatizo. Na nikiri nahitaji msaada wa ushauri.
Kuna mtu nilifanya naye biashara ya pesa nyingi kidogo. Lakini ilienda ndivyo sivyo. Ilinilazim kulipa hasara iliyotokea. Baadae nikaja gundua it was a mission ambayo yule dada aliisuka.
Nilikua mpole nikitafakari cha kufanya. Lakini kila nikinywa pombe napata hasira na kujikuta nikitamani kumdhulu yule dada. Nimejaribu sana kupambana na mawazo haya, bado yanarudia.
Jana saa 7 usiku nimewasha gari natoka shinyanga kwenda mwanza kumfuata yule dada... Njiani nilighairi safari nikarudi.
Kila nikiwa nakunywa pombe fikra hizi zinanirudia.
Naombeni ushauri niepuke vipi fikra hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni kujiua mzeeNilimeza mzigo huo wote alone, tena dry, ndipo nikapata hali hiyo!View attachment 1047201
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza hapa wanasema anaumwa aisee au ni janja zao hawa...
Kuna mdada amesuka white fulani hivi..
Wakuu nahisi nina tatizo. Na nikiri nahitaji msaada wa ushauri.
Kuna mtu nilifanya naye biashara ya pesa nyingi kidogo. Lakini ilienda ndivyo sivyo. Ilinilazim kulipa hasara iliyotokea. Baadae nikaja gundua it was a mission ambayo yule dada aliisuka.
Nilikua mpole nikitafakari cha kufanya. Lakini kila nikinywa pombe napata hasira na kujikuta nikitamani kumdhulu yule dada. Nimejaribu sana kupambana na mawazo haya, bado yanarudia.
Jana saa 7 usiku nimewasha gari natoka shinyanga kwenda mwanza kumfuata yule dada... Njiani nilighairi safari nikarudi.
Kila nikiwa nakunywa pombe fikra hizi zinanirudia.
Naombeni ushauri niepuke vipi fikra hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1488][emoji1488]Bro vuta pumzi ndefu kwanza, tulia kwanza hapo ulipo naomba nikushauri kesho
Duhh...pole sanaaaaaWakuu nahisi nina tatizo. Na nikiri nahitaji msaada wa ushauri.
Kuna mtu nilifanya naye biashara ya pesa nyingi kidogo. Lakini ilienda ndivyo sivyo. Ilinilazim kulipa hasara iliyotokea. Baadae nikaja gundua it was a mission ambayo yule dada aliisuka.
Nilikua mpole nikitafakari cha kufanya. Lakini kila nikinywa pombe napata hasira na kujikuta nikitamani kumdhulu yule dada. Nimejaribu sana kupambana na mawazo haya, bado yanarudia.
Jana saa 7 usiku nimewasha gari natoka shinyanga kwenda mwanza kumfuata yule dada... Njiani nilighairi safari nikarudi.
Kila nikiwa nakunywa pombe fikra hizi zinanirudia.
Naombeni ushauri niepuke vipi fikra hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
...Mkuu Zionist, hata vidole vya mkono havilingani..... Meza yenu naipa big salute!Kamanda, nashangaa huo mzigo mdogo hivyo unakusumbua ? Aisee, hatuwezi kaa meza moja, huwa hatupendi kuhangaika na majeruhi..[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishuaa zaidi
Mkuu namaanisha kunywa bila kusahau kula. Japo nyamayama, kongoro, supusupu na vinavyofanana na hivyo.Kishuaa zaidi
Wengine sisi Bila makelele kuzogoana
Kukaliwa na bar maid hatukomi burudan[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu namaanisha kunywa bila kusahau kula. Japo nyamayama, kongoro, supusupu na vinavyofanana na hivyo.
Kukaliwakaliwa na baa medi napo kuna nafasi yake muhimu sana ulevini mrangi
Sent using Jamii Forums mobile app