dolomon
JF-Expert Member
- Jun 5, 2018
- 597
- 1,239
Hahaha.. Hapa naRecharge Ndg Mwenyekiti..Dah sinywagi hiyo kama sina mechi ya mchangani
Jr[emoji769]
Mida ya breakfast hii karibuuuu.Hii tabia sio nzuri jamani, asubuhi asubuhi tunatamanishana hivi
Safi hyo ndy yenyewe bia ya kibishi...Ndugu Mwenyekiti, Mweka hazina na Katibu popote ulipo, Itifwaki imezingatiwa.. GUINNESS the power sijui nini na nini mistari ya J. NatureView attachment 1046779
Kitu kinachemsha mwili ka jiko la mkaa..Safi hyo ndy yenyewe bia ya kibishi...
Dah hapa nshatoka kumletea uzushi jamaa
Napatafuta kwa mangi sasa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema nmemuaribia jumamosi yakeKitu kinachemsha mwili ka jiko la mkaa..
Aminia Katibu, jamaa hatoleta tena uzushi mbele pesa..
Hahaha.. Huyo atakua mwanachama, hadi kajua harufu ya monde[emoji16][emoji23]Anasema nmemuaribia jumamosi yake
Alafu na tena nmeendaaaa nanukaaa pombeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kikubwaaa nmemwambiaa atoeee helaaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafki sana HawaHahaha.. Huyo atakua mwanachama, hadi kajua harufu ya monde[emoji16][emoji23]
Ngj nikikate kiporoo hichi alafu niende kwa mangiHahaha.. Huyo atakua mwanachama, hadi kajua harufu ya monde[emoji16][emoji23]
Hicho kwa ww ni chap kwa haraka, kimekata..Ngj nikikate kiporoo hichi alafu niende kwa mangi
Ova
View attachment 1046914
Sent using Jamii Forums mobile app