mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,423
- 138,193
Kuna issue nmepigaaa alafu uu mpunga unabidi utoke ee leo jumamosiToa lock mzee baba..
Hahaha.. Asilete usabato kabisa kwenye maswala ya fwedha..Kuna issue nmepigaaa alafu uu mpunga unabidi utoke ee leo jumamosi
Mtoaji hela msabato jumamosiii wanajifanya hawafanyakazi.....ngoja nkamletee uzushi mpk kieleweke asintanieee kabisa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapaaa a namuwazaaa yeye tuHahaha.. Asilete usabato kabisa kwenye maswala ya fwedha..
Mkomalie atoe mpunga, ataendelea na Sabato yake muamala ukisoma.Hapaaa a namuwazaaa yeye tu
Tena nshajiposition kwa mangi nataka toa lok ....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazush sana Hawa alafu Nna mkosi naye sana hyu lazima jumamosi iangukieMkomalie atoe mpunga, ataendelea na Sabato yake muamala ukisoma.
Nakuaminia Katibu..Wazush sana Hawa alafu Nna mkosi naye sana hyu lazima jumamosi iangukie
Leo mbichi mbivu lazima kieleweke
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nipo chimbo moja backyard naweka geji Sawa.. View attachment 1046643
Katibu kanipa mzuka mapema nikaona mambo yasiwe mengi..Ha h mzee baba mapema hiii ushaanza kula vyombo?
Karibu Mwenyekiti uweke barka zako, Katibu alishatufungulia kikao mapema sana..
NaaamAaamen itifaki imezingatiwa
Jr[emoji769]
Hii tabia sio nzuri jamani, asubuhi asubuhi tunatamanishana hivi
Nimehamia kaunta naona waiters wako slow mo.. Nataka nihamie humuAaamen itifaki imezingatiwa
Jr[emoji769]
Dah sinywagi hiyo kama sina mechi ya mchanganiNimehamia kaunta naona waiters wako slow mo.. Nataka nihamie humuView attachment 1046750
Dah ndugu mjumbe kuna usalama kweli leoNdugu Mwenyekiti, Mweka hazina na Katibu popote ulipo, Itifwaki imezingatiwa.. GUINNESS the power sijui nini na nini mistari ya J. NatureView attachment 1046779
Usalama upo full kama magogoni Ndugu Mwenyekiti..Dah ndugu mjumbe kuna usalama kweli leo
Jr[emoji769]