The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Haswaa. Nahama huko! Wa "hard-core drinks" byeeee!Kvant ina hii tabia ya kurudisha watu chenchi ukizidisha
Mjini labda tulipange hili.. Au tudumishe fikra za baba wa taifa za kubalance umbali kwa wananchi wote?? [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂Fala kabisa huyo.. Nilishakaa na dem mmoja club akaagiza eti Malta... Nikasema leo nimeingia Sabato
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala kabisa huyo.. Nilishakaa na dem mmoja club akaagiza eti Malta... Nikasema leo nimeingia Sabato
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa mwanangu anaichora hapo karibu mkuu.Mzee baba vyombo vyako navielewa sana, hapo umekosa dawa tuu
Dawa mwanangu anaichora hapo karibu mkuu.
Kei ni KayKwa mzgggo nliyopiga hpa nakata pombe na kahawa maana tungi tumeanza tangu saa nne asubuhi mpk sahv
Ova
View attachment 1046298
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaaaa ila nmedanmkaaKatibu yuko maji mbaya mda huu
Jinywee katibu.. Toa gambe, weka gambe [emoji1544]Balaaaa ila nmedanmkaa
Muda huuu nataka kutoa lock sahv ni saa 12 :49 asubuhi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaaa wa mwisho kulala wa kwanza kuamkaaa [emoji23]Jinywee katibu.. Toa gambe, weka gambe [emoji1544]
Toa lock mzee baba..Balaaa wa mwisho kulala wa kwanza kuamkaaa [emoji23]
Natak kutoa lock
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app