Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ha ha ha unaagiza tuukuwa huru maji si angekaa anywe nyumbani?
😅😅😅..unaishia kuona aibu tu yaan..jana nimechill sehem wakaja washikaj wakaagiza k vant😂😂😂pale akili ikaseize ...nilikua na coca yangu..miguu ikapata ngv walau nikaombe kidg waniwekee kvant kwa soda😂😂😂..kiu kilinishika vby mno..dah..!life changes
 
Alivumbua hivi vi lite Mungu amwone
IMG_20190313_181831_6.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom