Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Dah noma!...
Dar lini Inabidi ukitua tu tuonane
Hapa wametutimua wanataka kufanya usafi
Nataka kutafuta chimbo lingine niendelee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nina kazi namalozia inanitesa sana, lakini tunamalizia hatua zamwisho nirudi nyumbani. Kituo cha kwanza msata kwa mwenyekiti nimwone. Kisha nije kwako popo mwenzangu.🙄😳
15506480462221317439764.jpg
15506480462221317439764.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom