Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mpambano unaendelea
1550597179193503855285.jpg
 
Mm naliendeleza tu nko na mchz wangu mmja nlikuwa naye huko natron
Kuna Tukio kanikumbusha tulipokuwa kule natron kuna sehemu tulienda kupiga gambe
Mara tukashangaaa bia wamezifukia chini wakawa wanachimba wanazitoa
Hko kuna joto balaaa mpaka chupa za bia zinapasuka

Ova
View attachment 1026726

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mlikua ngarasero ndio mapigo yao.
Kuna mbu balaa tuliwahi kulala juu ya paa ndio ikawa ahueni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom