Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kazi na dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
1550563455589.jpeg


Jr[emoji769]
 
Wazungu wakiwa ofisini wajanja hao wana tia vitu vikali kwenye vikombe vya chai ,ukiingia ofisini unajua anakunywa chai kumbe ana piga vitu vyake hana habari
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hahaha, nilikua nafanya office moja hivi ,unatlruhusiwa kunywa bia muda wote ila usiharibu kazi
Wazungu wakiwa ofisini wajanja hao wana tia vitu vikali kwenye vikombe vya chai ,ukiingia ofisini unajua anakunywa chai kumbe ana piga vitu vyake hana habari

MTC | 101| [emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom