Sehemu kama hzo Mm silewi naweza kunywa bia nyingi ila sasa nkitoka hpo ni balaaaClimb it or drink it
sehemu tamu sana nko na mwenyeji wangu kutoka hili jukwaa kirokonya ni mtu mkubwa saaaaana kweli pombe inaleta networkSehemu kama hzo Mm silewi naweza kunywa bia nyingi ila sasa nkitoka hpo ni balaaa
Upepo huo ni sooo
Ila sehemu hyo inaonesha tamu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan hata ukiangalia (kwa Wakatoliki) imetajwa mara mbili kwenye "amri 10 za Mungu"
-usizini.
-usitamani mwanamke asiye mkeo.
Lakini hakuna kati ya amri hizo 10 inayokataza kilevi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana KiongozCha wizi... Ila sitokaa nirudie... Kutoa lock mchana halafu saa za kazi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1025710
Jr[emoji769]
Msalimie sana huyo mdausehemu tamu sana nko na mwenyeji wangu kutoka hili jukwaa kakoranya ni mtu mkubwa saaaaana kweli pombe inaleta network
Zimefika mkuu salamuMsalimie sana huyo mdau
Safi sanasehemu tamu sana nko na mwenyeji wangu kutoka hili jukwaa kakoranya ni mtu mkubwa saaaaana kweli pombe inaleta network
Duuuh, vibration zilikuwa za Tsunami hizo!Jasho nililotoka lilikuwa la vipimo vya ritcher 7.9[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Ntakuja ngoja msimu wa Kagomba uanze 😂😂😂😂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyesiti bila shaka ulitetemaJasho nililotoka lilikuwa la vipimo vya ritcher 7.9[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]