Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Moo townWenzenu Huku hatujui sheria tunalipa kodi Saizi kwa kreti View attachment 1014948
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Moo townWenzenu Huku hatujui sheria tunalipa kodi Saizi kwa kreti View attachment 1014948
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo ambayo ni dry Haina utamu. Mchagua pombe....Siipendi hiyoo na utamu wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mfyuuuu niache na uchaguzi wanguIpo ambayo ni dry Haina utamu. Mchagua pombe....
shoga unagonga robertson??sasa kwataarifa yakp.ijumaa andaa koo la kvant usituletee habari zako bwana wee😂😂nna hamu ya kinywaji...ss ukija ww nami nitapata nafasi ya kuchoropoka..si unajua tena😂Robertson
Itabidi nije kudoea aiseshoga unagonga robertson??sasa kwataarifa yakp.ijumaa andaa koo la kvant usituletee habari zako bwana wee[emoji23][emoji23]nna hamu ya kinywaji...ss ukija ww nami nitapata nafasi ya kuchoropoka..si unajua tena[emoji23]
.View attachment 1014219
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilikua jana. Tulikua wadada wanne kila mtu na chupa yake na mkaka mmoja anakunywa hiyo Hennesy. Chupa yangu haikuisha nikaibeba naendelea kuinywa kwenye bus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha sawa bana[emoji52][emoji23][emoji23]njoo nitakuwa na huyu bibie
Na wahudumu wadogo wadogo wazuri wazuri kiasi chake
Na wahudumu wadogo wadogo wazuri wazuri kiasi chake
Ww kale zako halaf pita hivi, mie huwa napenda kwenda kula mchana pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya shoga nitafanyaje Sasa, itabidi niendane na wewe Haina shida, maana mchagua pombe si mnywaji.shoga unagonga robertson??sasa kwataarifa yakp.ijumaa andaa koo la kvant usituletee habari zako bwana wee[emoji23][emoji23]nna hamu ya kinywaji...ss ukija ww nami nitapata nafasi ya kuchoropoka..si unajua tena[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya shoga nitafanyaje Sasa, itabidi niendane na wewe Haina shida, maana mchagua pombe si mnywaji.
Cc: Shunie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnyweshe huyooi k vantshoga unagonga robertson??sasa kwataarifa yakp.ijumaa andaa koo la kvant usituletee habari zako bwana wee[emoji23][emoji23]nna hamu ya kinywaji...ss ukija ww nami nitapata nafasi ya kuchoropoka..si unajua tena[emoji23]
Mtaniua nakwambia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnyweshe huyooi k vant
Jinywee Heineken tu kama mie usinywe mapombe makali hayoMtaniua nakwambia
Pole Sana. Mi nakunywa yoyote itakayokuwepo mbele yanguPombe kali siziwezagi mm yaan hazipi mdomoni ile harufu tu puani nashindwa