Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,634
- 870,320
- Thread starter
- #13,881
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dereva wa bajaji kamwe hawezi kuwa wa semi lazima majanga yatokee akilazimishaHahahaaaa! yaaani akitokea kichwa panzi akataka kukufuatisha wewe lazima mkazike, Yaaani Safari + Konyagi kubwa! Kiama unakiona kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr[emoji769]