Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Karibu ule vitu vya asili unashiba ukilewa.Daaah! [emoji813]️[emoji91]
Brooh..Tume misiana
Jr[emoji769]
Blaki umani...
Sawa jiraniPamoja jirani next week Mungu akijaalia unaweza nikuta hapo kama ntakua town.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelenga hapo hapo ndio nipo ;leo nimeingia kule nyuma nikakuta walipa kodi wanacheza hizi nyimbo za rc nikahisi nipo home kabisa yani ni full burudani .kule nyuma wanakouzia mbegeNatumia sana asili yangu iyo, Si pale kwa Baltazary?
Umelenga hapo hapo ndio nipo ;leo nimeingia kule nyuma nikakuta walipa kodi wanacheza hizi nyimbo za rc nikahisi nipo home kabisa yani ni full burudani .kule nyuma wanakouzia mbege
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss ya broKimyaaaaa.....
Jr[emoji769]