Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Jirani vibaya hivyo sijalila mida trupa gaadTrupa kwa watu wa arusha moshi wanaelewa.View attachment 1008800View attachment 1008801View attachment 1008803
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ahsante Rafiki ,nitakaribia niwekee glass yangu Kabisa, ila usisahau nyama kdg
Glass ipo tayari unapenda kuku mbuzi ama ngombeHahahaha, ahsante Rafiki ,nitakaribia niwekee glass yangu Kabisa, ila usisahau nyama kdg
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vzr kwakua umechagua wewe ,andaa huyo nakuja niko hapa Sanawari ,dakika 10 nitakua hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema pande zako nadhindwaga kuelewa yani nachanganyikiwa sjui hapo ni wapi
Arusha Night park resort Sakina karibuSema pande zako nadhindwaga kuelewa yani nachanganyikiwa sjui hapo ni wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂