Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ila watanzania ni wanafki mno na ndio maana Mr President sometimes anakosea coz haambiwi ukweli watu ni kusifu tuu sasa nae akiona anasifiwa sana anajua anajenga kumbe anabomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sekta hizi, maliasili, kilimo na madini aise ni ngumu sana. Hizi sekta zina umafia sana. Me niko kwenye sekta ya kilimo, kuna umafia sana. Kwa serikali zetu hizi za kiafrika, ni ngumu sana kufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu na tungi uliweza kweli kumudu yanayozungumzwa kwenye ule mkutano wa madini!?maana na ww noma geji inasoma kila mda[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm namudu mzee
Huwa silali kabisa .....hapa yenyewe nko macho bado nkisema nilianzishe naweza ila acha nirelux [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe nyingi sana nakunywaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano ulikuwa positive sana
Kuna mambo mengi mkuu alikuwa hayajui
Hata viongozi walikuwa hawajui
Hawa wakaa wanaoteuliwa ofisini ni shida
sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hiyo juzi tuliongea kuhusu hawa wanaokaa ofisini na makabrasha wanammezesha Mh Rais matango pori watu wanaojishughulisha na madini ndio wanajua kila kitu hope atayafanyia kazi mliyoyapendekeza.

Unajua haya mambo wala sio hata waziri au nani, ni ka system kalikoshikwa. Mambo yote yanamalizwa na watendaji. GGGm iko geita, waziri yuko Dom, rais yuko dar....

Unaona sasa!!sema Mh Rais naona kaongelea kua yy anaangalia uwezo na sio elimu coz kashaona hao maprofesa wanamuangusha so lazima atawaweka watu ambao ni wazoefu washirikiane na hao wasomi.

Kuna jamaa kaongea vizuri sana Solomoni huyo kaelekeza hadi njia za kuibia madini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sasa!!sema Mh Rais naona kaongelea kua yy anaangalia uwezo na sio elimu coz kashaona hao maprofesa wanamuangusha so lazima atawaweka watu ambao ni wazoefu washirikiane na hao wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hakuna watu nawaona hovyo kama hawa. Tulishawahi kukaa kikao kimoja na DC mmoja kuhusu ununuzi wa pamba. Sasa wanalazimisha Ushirika ndio ununue pamba, wakati ushirika hauna hela, sasa matokeo yake makampuni yanatakiwa yaipe hela ushirika na waseme wanahitaji kiasi gani cha pamba, sasa unajiuliza if don't have the money kwanini ujipe mamlaka ya ku procure.... Yule DC anaongea vitu unaona kabisa huyu ni mweupe kabisa. Katika watu nishafanya nao kazi na wanajielewa ni yule RC wa Simiyu, yule jamaa ni smart sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom