Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kuna jamaa kaongea vizuri sana Solomoni huyo kaelekeza hadi njia za kuibia madini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nlimsikia ila kwa nionavyo mm yani ukitaka kuthibiti utoroshwaji wa madini dhibiti sehem hizi; 1 viwanja vya ndege,2 mipakani,3 bandarini yani hizi sehem zikiwekwa usimamizi na ulinzi wa kutosha naapa hamna utoroshwaji utatokea.

If u want to deal with mafias, be a mafia too. Hii ndio kanuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo mbaya mkuu mbona hizi ndio story zetu tunapokuwa bar...nimefurahi kupata insight ya kinachoendelea kwenye sekta ya madini...ngoja na mimj nikalipe kodi sasa kazi haziiishi na hazitakaa ziishe
Kabisa mkuu unajua hata tukiwaga bar walevi huwa tunadiscus mambo ya msingi kama hayo ya madini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha h ngoja mpaka ifike kesho ndio useme sikupiga vyombo katibu umeshindkana unaweza kuwa na stock yako umeichimbia home
Doh uzalendo umenishinda acha nianzishe na nyagi

Ova
20190122_191113.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom