Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimerudi huku
20190117_225201.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo saa saba tu au nane nko ndani [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro nakuomba jumapili pata usingizi hata wa masaa 24,wewe lala tuu usitoke ndani wala kunywa kabisa kama vipi zima simu kabisa usipatikane kama vipi jmosi rudi na msosi usiochacha, uta refresh (hibernate), one love [emoji1431]bro 🥃[emoji91]
 
Duh....ntajaribu
Ila ngumu......sana
Maana nmeshindwa kulala
Leo nmerudi saa moja kutoka nlipokuwa nkajikuta tumevamiaa mikasa ubungo pale si unajua tena usiku ni kama mchana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom