Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ngoja niwachokoze wanaume. Hizo funguo za gari huwa hazikai mifukoni wakati mpo bar au mnaziweka juu ya meza kimkakati? Hahaa..
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]weka picha

Jr[emoji769]
 
Pale ambapo unahitaji akili ya pili kutatua jambo,
f0fed46ab098a51a5d88816715c4ff3e.jpg
 
Wakuu habari za kushinda?

Jamani kijana mwenzenu bado nahangaika kutafuta ajira!

Tafadhali naombeni msaada wenu..

Msaada wenu muhimu sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom