Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

30fa5eddda320f914501e24f8d0eee07.jpg


Weekend ndio inaanza hapa, mzee mwenzangu wa heinken karibu sana
 
Hivi kwa nini konyagi inalazwa chini kwenye meza wakati K-Vant inasimamishwa!!

Tatizo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakujibuuu
Ila kvant waongezee ukali
Mm nkinywaa kvant nazipiga nyingi
Inaharibu bajett tu [emoji2] [emoji2]
Huo mzigo chini tko mtu 3 sasa mpaka alfajirii si tutakataa zaidi maana mezani iko 1 nayo inaishiaaa

Ova
20190118_224110.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom