Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Embu mndewa tuambiane
Mimi siku hizi ninatabia ya kunywea nyumbani, tatizo liko hapa
Kila kona ya nyumba yangu imejaa haya maganda ya take away.
Value
Konyagi
Santiana
For teachers
N.k
N. K
Nyinyi wenzangu mnafwanyaje fwanyaje asee?
Yani nimejitahidi kuyakusanya baada ya muda yamejaa
Naanza kuona umuhimu wa viwanja, sasa tatizo utu uzima nao sasa
Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23]nilienda halftime sikurudi
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app