Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
Ndio dawa ya vitu vikali..... huwa nikiwa maeneo ya visiwani, ni samaki wabichi mchemsho tuK vant niache, utaniuwa bure. Nimebaki Kula visupusupu tuView attachment 989425
Sent using Jamii Forums mobile app
Martha yupo mkuu
Kuna vilevi ni vitamu mpaka ukivinywa unahisi kufika kileleni[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23]
Jr[emoji769]
eti manengelo ni ya kweli haya dada?[emoji3]Kuna vilevi ni vitamu mpaka ukivinywa unahisi kufika kileleni[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23]
Jr[emoji769]
Nakapenda sana kale katoto ngoja nione kama nitafika hapo ninywe hata chupa 2 nirudi kupumzika...
Poa mkuu, katoto kako charming mbaya jana nilikuwa hapo nimepiga konyagi ndogo na heinken 4 na kitimoto saaafi afu nkasahau kulipa kitimoto
Haaahaaa.....ikoje hiyo mkuu?Ni kweli ila we chunguza wanywa banana wengi kua ni wale watu walochoka maisha,pombe gani bana unakunywa unalegea legea na kuvimba mashavu mm staki asee.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁[emoji23][emoji23][emoji23]ukiinywa lazima ufike kileleni [emoji85][emoji85][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Karibu moshono,murieti etc uwaone boss.Me ni mzawa kabisa tena town kabisa mianzini ila ukweli sjawahi muona mzungu anakunywa nana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta siku moja uende roddies kunduchi ni balaaIle kitimoto ya kuchoma pale opposite ila siku hizi wanazingua sana nitrudi kwenye kokoro langu la container hapo chato street...
Sasa mkuu:mm ni mzaliwa wa mianzini ila nimejenga huko muriet kwa mrombo mbona siwaonagi hao wazungu wakitwanga nana!?Karibu moshono,murieti etc uwaone boss.
Banana huijui!? Wanaita eti wine[emoji23][emoji23]wine gani unakunywa unavimba mashavu na kulegea magoti hiyo kweli hata nikichokaje sinywi
Kijenge moja hio arifu na yote hayo nimeyashuhudia pale kiwandani kwa mzee Olomi.Sasa mkuu:mm ni mzaliwa wa mianzini ila nimejenga huko muriet kwa mrombo mbona siwaonagi hao wazungu wakitwanga nana!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijenge moja hio arifu na yote hayo nimeyashuhudia pale kiwandani kwa mzee Olomi.
Safi sana karibu.
Samahani mkuu wangu, naomba tusogee pm kidogo kuna ujumbe wako