Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ma prof walionifundisha wanakimbilia 70 na wanakunywa mbovu zaidi yangu halafu huyo jinga anasemaje...

Maisha ni ya ajabu sana unaweza usiwe unakunywa pombe na ukavuta mapema tu...
Tena kwa Ngoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Poa poa pambana kiongozi mi Leo najimwaga tu.
Nmetoka kustuka bia 1 chappp nmejiiba
Faster

Ova
20190108_135402.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma prof walionifundisha wanakimbilia 70 na wanakunywa mbovu zaidi yangu halafu huyo jinga anasemaje...

Maisha ni ya ajabu sana unaweza usiwe unakunywa pombe na ukavuta mapema tu...
Mshua wangu tangu safari kubwa inauzwa jero namuona anagonga na ma whisky, hadi leo anagonga 70 bado yuko vizuri na gari anaendesha... kuugua ini na figo ni vile unavyojitynza tu. Hata tofali linahitaji maji ila ukilizidishia unaliharibu.... hawa huwa ni kama wachawi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom