Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

vyombo popote...
20181220_174739.jpeg
 
Nakufananishaga na mkuu fulan hiv wa mkoa alikua chapombe mbaya alafu mby zaidi ni Dk..jina limenitoka..white hv..alikuaga morogoro[emoji4][emoji109]..huwa naimagine.uso wake utakuwa umefanana naye..ngoja nimkumbuke jna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji44][emoji23][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23]
 
Hakikisha unanitafuta tule raha mbaya [emoji23][emoji23]

its a must... yaan acha tu..nikitokaga nje ya mji huwa silali mie😂😂 nakuwaga mandela (uhuru km wote)..kuna mwez nilienda rock cty...alfjr nipo jiwe fulan amazing naomba wanifungulie nijipigie bia😂😂😂...ah maisha haya buana!
 
Mimi Usawa Ujakaa leo natamani tungi hatari huu mwaka nalia na hari sina jambo [emoji21][emoji21][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom