Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

kazi na dawa
20181216_205304.jpeg
 
Kumekucha bandugu twendeni tukazisake sasa ili tuendelee kulipa kodi vizuri.
 
....wakuu, moja haikai wala Mbili haisimami, sijui ndio bluu mandei! Nanyanyuka narudi kitandani, chochote kiingiacho kinywani nakicheua, kunywa raha, mateso asubuhi!
20181217_071018.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom